maarufu kwa on Instagram - mulpix
Wakulima walikuwa wanalalamikia bei ndogo ya zao la Korosho. Mpaka Mhe @officialjohnpombemagufuli anaingia madarakani, bei ya korosho ilikomea Tzs1,700 kwa kilo. Katika misimu miwili chini ya uongozi wa serikali ya Magufuli na udhibiti wa michezo michafu kwenye sekta ya korosho bei ya imepanda mpaka 4125 mnada wa 5 ulofanyika Masasi...